|
MWONGOZO
WA BIDHAA ZA FOREVER LIVING
HISTORIA FUPI YA BIDHAA ZA FOREVER LIVING
Bidhaa hizi zimeanzishwa na Bwana Rex Maugan ambaye ni mtu
hodari na aliyekuwa na ndoto. Kwa miaka mingi alikuwa
akiwaza kuanzisha kampuni itakayosaidia watu afya na kipato.
Mwaka 1978 alifanikiwa kupata wazo na kulaks watu 43
kushiriki mkutano wa kwanza huko Phoenix,Arizona ambao ndio
umekuwa chanzo cha kuanzisha kampuni kubwa iliyosambaa nchi
zaidi ya 130 duniani na kufanikisha ndoto yake.
|
|
Aloe
Vera ni nini?
Ni mmoja kati ya mimea ya dawa iliyojulikana tangu
kitambo sana. Una zaidi ya miaka 2000 catlike historia na
sayansi.
Una umbo kama cactus, lakini ni jamii ya mimea ya lilly.
Kuna zaidi ya aina 200 za mimea ya aloe vera (shubiri) una
zaidi ya virutubisho 75 ikiwa ni pamoja na madini 20, amino
acid 18 na vitamin 12.
Aloe vera (shubiri) ina faida kuu tano kwa mwili wa binadamu
Kupenya mwilini - aloe vera hufikia tishu za ndani kabisha
tabaka saba kwenda ndani
∙
Huuwa vimelea vya magonjwa-ina vichocheo sita vinavyoua
vimelea vya magonjwa kama
bacteria virus na fangsi
∙Uzalishaji
wa chembechembe hai za mwili-huchochea utengenezwaji wa
chembe chembe mpya na tishu mpya zenye afya.
∙Hufanya
mfumo wa fahamu kufanya kazi vizuri- hutuliza matatizo
yanayoathiri mfumo wa fahamu
∙Husafisha-huondoa
sumu mwilini na kufanya utendaji kazi wa mwili urudi katika
hali ya kawaida.
∙Aloe
vera ni kinywaji cha asili ambacho huboresha na kuondoa
maradhi mengi katika miili yetu.
Aloe vera inaweza kusaidia katika:
∙Vidonda
vinavyotokana na kuungua, kujikata, michubuko, vidonda vya
tumbo, kung’atwa na wadudu wakali na wanyama
∙Matatizo
ya kutopata haja hasa maumivu wakati wa kupata haja kubwa
∙Matatizo
ya ngozi kama psoriasis, pumu ya ngozi (eczema), chunusi
(acne) na dermatitis
∙Matatizo
mengine kama shida ya mmeng’enyo wa chakula, kinga ya mwili
ungonjwa wa koo, pumu na uchovu wa mwili usioeleweka,
maumivu sehemu mbalimbali za mwili, matatizo ya usingizi. |
|


Bei yake Tsh 10,000/=
Bidhaa ya kusafisha meno iliyotengenezwa tokana na “stabilized” Aloe
Vera Gel pamoja na bee propolis hivyo huua bacteria na vijidudu vyote.
Inang’arisha meno bila kuchuna tabaka la juu la meno– ENAMEL
Huzuia meno yasitoe damu, kuponya vidonda vya mdomoni na endapo kuna
maumivu mdomoni unaweza kupaka kwenye meno moja kwa moja bila kupiga
mswaki.
Husaidia kusafisha fizi na kuzifanya tishu zake ziwe na afya na imara.
FAIDA:HUZUIA KTUOKWA DAMU, HARUFU MBAYA, KUIMARISHA FIZI,
MATUNDU KWENYE MENO, HUPONYA VIDONDA VYA MDOMONI |